News

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma, Beatus Kinyaiya amesema alichofanya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema sifa njema kuhusu utulivu na amani iliyopo Tanzania iendelezwe katika Uchaguzi Mkuu wa ...
Mabosi wa klabu ya Simba katikati ya wiki walitana pamoja na kujadili mambo mbalimbali ya klabu hiyo ikiwamo kupitia ripoti ...
Mnyukano wa hoja umeibuka, baada ya kauli ya Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe aliyetaka bunge lisidogoshwe kwa ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuanzishwa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo ...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku moja nchini Comoro kwa mwaliko wa Rais wa Umoja wa Visiwa ...
Watu wengi walikuwa wakielewa maana ya ofisi kama Mahali pa kazi palipo na mlango maalum, huduma nzuri kama maji baridi, na ...
Ili kufufua na kurejesha zao la ulezi, Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari) kupitia Kituo cha Uyole jijini Mbeya, ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewatahadharisha na kutoa onyo kwa kundi la watu wanaojitokeza kutoka Kanisa ...
Watanzania wenye sifa ya kupiga kura wameitwa kujitokeza siku ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, ikielezwa kufanya hivyo ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete amesema Ofisi ya Msajili ...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amezitaka taasisi zisizo za kiserikali ...